TANZANIA YATOA MWONGOZO MPYA KWA WASAFIRI KUDHIBITI TISHIO LA EBOLA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa mwongozo mpya wa dharura kwa wasafiri kufuatia kutangazwa kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola (EVD) katika nchi jirani za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Uganda.

​Katika taarifa iliyotolewa leo, Mei 19, 2026, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif A. Shekalaghe, Serikali imeweka hatua kali za kuzuia ugonjwa huo usiingie nchini, zikijumuisha pia udhibiti wa magonjwa ya Mpox na Hantavirus.

Comments

Popular posts from this blog

RESIDENTS OF IYAGABUYAGA-BUSEGA URGED TO RESPECT WILDLIFE CONSERVATION LAWS

TANZANIA YAKAMILISHA MFUMO WA KUREJESHA HALI BAADA YA MAAFA

RC CHALAMILA MASHINDANO YA AFCON YATUMIKE KIBIASHARA